SWAHILI COURSE VIDEOS & RESOURCES

Ulemavu, watu wanaoishi na matatizo ya akili na syndromes, na haki zao za binadamu

Disabilities, Persons Living with Mental Conditions and Syndromes, and their Human Rights

COURSE INFORMATION

DATE: TBD // LENGTH: TBD// FORMAT: 4 self paced lectures // LANGUAGES: English, Swahili // PRICE: TBD

KIPINDI/SESSIONS

  • Kipindi cha 1: Utangulizi wa ulemavu wa mwili, Ulemavu wa hisia, na hali ya akili na mrundikano wa magonjwa.
  • Kipindi cha 2: Sifa za mtu anaeishi na hali ya akili na wenye mrundikano wa magonjwa kwa kuangazia kwenye ugonjwa wa maendeleo ya akili “autism.”
  • Kipindi cha 3: Uendelezaji wa ujuzi wa jinsi ya kushirikisha mtu mwenye uwezo maalumu
  • Kipindi cha 4: Vyombo vya kimataifa vya Haki ya Binadamu

~

  • Session 1: Introduction to physical disabilities, sensorial disabilities, mental conditions and syndromes.
  • Session 2: Characteristics of persons living with mental conditions and syndromes focus on Autism
  • Session 3: Skills development in how to engage persons with special abilities
  • Session 4: International human rights instruments

Rekodi za mafunzo zipo hapa chini (Kiswahili na Kiingereza)

Lecture recordings below (Swahili and English)

Kipindi Cha #1  /  Session #1

Kipindi Cha #2  /  Session #2

Kipindi Cha #3  /  Session #3

Kipindi Cha #4  /  Session #4

TERMS

Autism – Ugonjwa wa ukuaji na maendeleo ya akili

Down Syndrome – Shida ya kuwa na seli pungufu mwilini

Celebral Palsy – Ugonjwa wa kupooza kwa ubongo/ untindio wa ubongo

Microcephalia – Ugonjwa wa ubongo mdogo/ kichwa kuwa kidogo

Sensory disability – Ulemavu wa hisia (upofu, kigugumizi, kiziwi)

Mental condition – Hali ya akili

Living with Mental condition – Kuishi na hali tofauti ya kiakili

Purchase a Professional Development certificate ($45)

By purchasing, you will receive a Professional Development certificate at the completion of the course.

If you encounter any issues with the purchase process, please email HDPI at phyllis@hdpi.org for assistance.