SWAHILI COURSE VIDEOS & RESOURCES
Ulemavu, watu wanaoishi na matatizo ya akili na syndromes, na haki zao za binadamu
Disabilities, Persons Living with Mental Conditions and Syndromes, and their Human Rights
COURSE INFORMATION
DATE: TBD // LENGTH: TBD// FORMAT: 4 self paced lectures // LANGUAGES: English, Swahili // PRICE: TBD
KIPINDI/SESSIONS
- Kipindi cha 1: Utangulizi wa ulemavu wa mwili, Ulemavu wa hisia, na hali ya akili na mrundikano wa magonjwa.
- Kipindi cha 2: Sifa za mtu anaeishi na hali ya akili na wenye mrundikano wa magonjwa kwa kuangazia kwenye ugonjwa wa maendeleo ya akili “autism.”
- Kipindi cha 3: Uendelezaji wa ujuzi wa jinsi ya kushirikisha mtu mwenye uwezo maalumu
- Kipindi cha 4: Vyombo vya kimataifa vya Haki ya Binadamu
~
- Session 1: Introduction to physical disabilities, sensorial disabilities, mental conditions and syndromes.
- Session 2: Characteristics of persons living with mental conditions and syndromes focus on Autism
- Session 3: Skills development in how to engage persons with special abilities
- Session 4: International human rights instruments
Rekodi za mafunzo zipo hapa chini (Kiswahili na Kiingereza)
Lecture recordings below (Swahili and English)
Kipindi Cha #1 / Session #1
Kipindi Cha #2 / Session #2
Kipindi Cha #3 / Session #3
Kipindi Cha #4 / Session #4
TERMS
Autism – Ugonjwa wa ukuaji na maendeleo ya akili
Down Syndrome – Shida ya kuwa na seli pungufu mwilini
Celebral Palsy – Ugonjwa wa kupooza kwa ubongo/ untindio wa ubongo
Microcephalia – Ugonjwa wa ubongo mdogo/ kichwa kuwa kidogo
Sensory disability – Ulemavu wa hisia (upofu, kigugumizi, kiziwi)
Mental condition – Hali ya akili
Living with Mental condition – Kuishi na hali tofauti ya kiakili
Purchase a Professional Development certificate ($45)
By purchasing, you will receive a Professional Development certificate at the completion of the course.
If you encounter any issues with the purchase process, please email HDPI at phyllis@hdpi.org for assistance.